MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
ukiona hivyo ujue kenya wamestaarabika sana, jana uhuru kakashifiwa bungeni leo kamtumia kadi ya x-mas yule mama, kuna watu wana roho za tofauti sanaHabari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.
Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.
Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.
Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??
Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??
Natanguliza shukrani kwa wote!
Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.
Wasalaam!
Naye watakuja kumkuta Ngong Forest. Wakenya hawana maanaHabari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.
Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.
Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.
Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??
Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??
Natanguliza shukrani kwa wote!
Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.
Wasalaam!
ukiona hivyo ujue kenya wamestaarabika sana, jana uhuru kakashifiwa bungeni leo kamtumia kadi ya x-mas yule mama, kuna watu wana roho za tofauti sana
Kweli?ukiona hivyo ujue kenya wamestaarabika sana, jana uhuru kakashifiwa bungeni leo kamtumia kadi ya x-mas yule mama, kuna watu wana roho za tofauti sana
Mmmmmh!kwannNaye watakuja kumkuta Ngong Forest. Wakenya hawana maana
Ila nilitamani kujua km ni jasusi labdaAnakula bata zake sana Zanzibar.. Alikua DSM two weeks ago! Taarifa anapewa Raia na emusurika kuuwawa mara nyingi sana kiasi kwamba familia yake, makazi yake na hata gari zake hulazimika kubadili makazi mara kwa mara!
Jamaa yuko conscious htrJamaa kichwa sana sio sawa na wale waliojazana ikulu kumuuliza magu hobi yake nini.... mbafu kabisa
Asee!kwani hakupitia intelligence maana si kwa kufatilia kuleKitu kimoja ambacho nimekigundua huyu jamaa ame excel kwenye taarifa za kichunguzi. Competence yake ndio inamuweka mjini. Kwenye shule naona ni wa kawaida hata nliona akihojiwa na tv flani hivi ana kidhungu kinakaribiana na baba naniii yaani. Competence ndio inampa kula