Ben bizzoh
Senior Member
- Dec 28, 2013
- 121
- 5
Kama wewe ni mwanafunzi unaekwenda nje kusoma ningependa kujua kama haukupata usumbufu wowote kwenye kutengeneza passport coz wananigomea kwasababu sina admission letter na admission letter inatolewa nikitoa passport # ambayo wananizingua ofisi za migration.