Anayekifahamu Chuo cha Afya Muhimbili

Anayekifahamu Chuo cha Afya Muhimbili

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,536
Reaction score
3,887
Habari za jioni

Anayakifahamu chuo cha Muhimbili Univesity Health and Allied Science naomba anipe maelezo ya ada zao zipoje. Nataka kuapply kozi ya CLINICAL MEDICINE kwa cheti cha kidato cha nne.
Kwa ufaulu ufuatao
Math D
Kiswahili D
Biology C
Geography C
English C
Civics D
Chemisty D
Physics D
History C
Division 3 ya 23.

Alamsiki
 
Nahisi pale hakuna kozi ya clinical medicine kwa sasa... afu competition yake ni nzito hutaweza kwa ufaulu huo mkuu
 
Wapi nitapata, maana nemeshatuma maombi chuo cha afya cha Lugalo.
Usikariri sana Clinical Medicine.

Kwa matokeo yako labda vyuo vya private ( Ada 2M+ ).

Ungejaribu kuomba pia Radiography, Medical Lab au hata Nursing.

Kwa Kuwa "Clinical Medicine" na "Pharmacy" ni Kozi maarufu, hivyo ushindani ni mkubwa.
 
Hh nkujarib
Tuma maombi kwenye vyuo visivyo na ushindani kama kam college chapu unapata bila wasisi vunga mujanja utakosa chuo utakaha kitaha mwaka mzima ukisubili mwakani uombe tena kisa ushindani fata ushauli wangu omba vyuo visivyo na ushindani utakuja kunishukuru hapa
 
Bc khri tuombe mungu
 
Habari za jioni

Anayakifahamu chuo cha Muhimbili Univesity Health and Allied Science naomba anipe maelezo ya ada zao zipoje. Nataka kuapply kozi ya CLINICAL MEDICINE kwa cheti cha kidato cha nne.
Kwa ufaulu ufuatao
Math D
Kiswahili D
Biology C
Geography C
English C
Civics D
Chemisty D
Physics D
History C
Division 3 ya 23.

Alamsiki
Huwezi kupata nafasi kwa maksi hizi Mkuu. Jaribu vyuo vingine.
 
Back
Top Bottom