mkuu, nakumbuka tu kiitikio. ila ni wimbo fulani jamaa akimshukuru demu wake kuwa ndo anamfanya aendelee kuishi akipambana for future success. ni love songWeka hata voice note yako bas tukutajie bob
....
zipogo ndugu yangu. Hata mad ice anaimbaga hizo makituBongo kuna R&B?
wanaimbaje?zipogo ndugu yangu. Hata mad ice anaimbaga hizo makitu
Bongo kuna R&B?
Pipo, msaada wajameni! juzi nikiwa nasikiliza ka-radio kangu, mara nikasikia wimbo fulani amazing na wataratibu, Rnb fulani ya kibongo. siyo mzuri wa kukariri mashairi lakini nakumbuka kiitikio chake,
...Ni wewe tu x2..! akipokezana na mwanadada kwenye kuimba chorusNimeusaka kwenye sources zote bila majibu. mwenye kujua please, help
Bongo kuna R&B?