Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

naona wenginre washaanza kuingizia mambo ya uwanja wa fisi na kimboka via riverside😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Kuna jamaa yetu yuko BOT kitengo cha uhasibu,aliniambia kwa mwenye bachelor of account na cpa anaanza na 1.6m.ila viposho vipo vingi maana yeye yuko kwenye kitengo cha kusafirisha pesa.naona maisha yake sio haba hapo Dodoma.
 
Mishahara yao sijui ila nafahamu TCRA per diem zao ni 250K kwa officers (entry level)

Mara nyingi per diem hua ina reflect mshahara. Hii taarifa ni hearsay kutoka kwa mdau aliyepo, sijaverify
 
Back
Top Bottom