Anayejua dawa nzuri ya mchwa

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
6,710
Reaction score
20,717
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.

Natanguliza shukrani
 
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani

Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani[emoji38](watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
 
Dah.. mkuu hebu fanya utume hiyo picha maana hapa wananisumbua balaa nimeshapiga hizi dragnet naona hazisaidii kitu.
 
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani
Weka oil mkuu ni hatari kwa hivyo vijamaa
 
Naomba nitumie picha ya hiyo Dawa DM mkuu au ht hapa kwa faida ya wengi maana mchwa ni balaa
 

Please tunaomba picha ya dawa
 
Mi nadhani tujifunze kuelewa maana ya neno dawa. Dawa hutumika kutibu, sio kuangamiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…