M mashi ga ngoko Member Jul 15, 2018 96 50 Aug 22, 2018 #1 Anayejua panapouzwa vifaa vya umwagiliaji aina ya spincle anijuze bei na vinauzwa wapi
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,315 7,113 Aug 22, 2018 #2 mashi ga ngoko said: Anayejua panapouzwa vifaa vya umwagiliaji aina ya spincle anijuze bei na vinauzwa wapi Click to expand... Una uhakika vinaitwa spincle? Au unamaanisha Sprinklers? Ulinjinga namhala'ebhe!!
mashi ga ngoko said: Anayejua panapouzwa vifaa vya umwagiliaji aina ya spincle anijuze bei na vinauzwa wapi Click to expand... Una uhakika vinaitwa spincle? Au unamaanisha Sprinklers? Ulinjinga namhala'ebhe!!