Anayeijua shule ya Alfagems Morogoro

satura

Member
Oct 18, 2014
37
6
Tafadhali naombeni msaada,

Anayefahamuvizuri shule ya Alfagems Morogoro anisaidie mawasiliano ya shule au hata namba za mwalimu aliyeko pale ili niweze kuwasiliana nae kupata taarifa na muda kwa kujiunga kidato cha tano shuleni hapo pamoja na taratibu za hapo shuleni.

MSAADA TAFADHALI
 
Tafadhari naomben msaada anefaham vizuri shule ya alfagems morogoro anisaidie mawasiliano ya shule au hata namba za mwalim alieko pale ili niweze kuwasiliana nae kupata tarifa na muda kwa kujiunga kidato cha tano shuleni hapo pamoja na taratibu za hapo shuleni

MSAADA TAFADHALI
 
Ricardo hana simu.... Mm nilisoma pale kama ni kujiunga nenda kachukue form na utachagua mwenyewe kama utasoma five na six kwa one year au two years
 
Ricardo hana simu.... Mm nilisoma pale kama ni kujiunga nenda kachukue form na utachagua mwenyewe kama utasoma five na six kwa one year au two years
naomba unitumie namba zako kuna kitu unielekeze tafadhari
 
kama una unazo nisaidie
Mmh! Peku peku unamsikia au unamfahamu. Huyu jama ni mzungu toka familia tajiri huko Italy. Ila amekuja Morogoro kama mmishonari. Basi maisha yake yote anatembea peku peku na anaendesha kibaiskeli... Yani anaishi yale maisha primitive and down to Earth... So ndio maana nikawa worried kama hata anaweza kuwa na simu ya mkononi...
 
Siku hizi imejaza wanafunzi kama siafu shule zake ni chafu mno kunguni chawa mtindo mmoja hadi huruma ukiwakuta wale watoto wakimwagia maji moto kwenye chaga kuua kunguni hadi huruma naendaga pale kwa ndg yangu na swala hilo limefikishwa sehemu husika wakashuhulikie, sasa hivi kachukua Kigurunyembe, malat na adrian mkoba
 
Mmmh...mbona umezidisha chumvi sana?Sema na mazuri yake,pamoja na kujaza wanafunzi kama siafu pale hakuna division ziro...na pia shule sio chafu kama unavyodai...ni shule gani inayo chaji ada kwa laki 4 na 80 kwa day na wanafunzi wanafaulu kwa kiwango kikubwa?
Pia kumbuka shule hii ipo chini ya jimbo katoliki Morogoro,brother Ricardo ni msimamizi kupitia kampuni ya Alfagems...shule za Kigurunyembe,Malati,Adrian Mkoba na Mtoni Moro,zipo chini ya kampuni iitwayo Kiswila ndo inaziendesha na sio Br.Ricardo.
 
Wewe umesoma hapi zamani nadhani zimechukuliwa na kampuni ya huyo father pekupeku toka mwaka jana ndg yangu na ada ya 480000 haipo tena day sasa hivi ni million 1.2 mtoto wa rafiki yangu anasoma pale na jana tulienda kumuona branch ya Kigurunyembe sec hali ndio hiyo sijazungumzia ada wala performance ninezungumzia mazingira yalivyo machafu wala hakuna chumvi wala pilipili ndio hali ilivyo elimu ni nzuri sana hata ada mliosoma pale saidieni kuiboresha basi
 
Na mtoni haipo chini ya jimbo ila waalimu waliokuwa alphagem ndio waliamua kuanzisha kituo chao kama cha wanaorudia mitihani hatimae wakaweza kuikuza sasa ile ni ya watu binafsi si ya dini
 
Ada ya Alfagems ni kwa o-level ni Laki 9 kwa bweni na Laki 4 kwa day,A level ni 1 mil kwa bweni na laki 5 kwa day.Kumbuka pamoja na shule zote mbili kuendeshwa na mtu mmoja,Alfagems ada yake ni ndogo zaidi ukilinganisha na Kigurunyembe.
 
Na mtoni haipo chini ya jimbo ila waalimu waliokuwa alphagem ndio waliamua kuanzisha kituo chao kama cha wanaorudia mitihani hatimae wakaweza kuikuza sasa ile ni ya watu binafsi si ya dini
Sikusema mtoni ipo chini ya dini...kilichopo mtoni inaendeshwa na kampuni moja pamoja na shule za Kigurunyembe,Malati na Adrian Mkoba,kampuni hiyo inaitwa Kiswila..
 
Na mtoni haipo chini ya jimbo ila waalimu waliokuwa alphagem ndio waliamua kuanzisha kituo chao kama cha wanaorudia mitihani hatimae wakaweza kuikuza sasa ile ni ya watu binafsi si ya dini
kwa maana hiyo alfagems haifai kwa malazi siyo
 
Inasemekana Huyu Ricardo Kwao Italy Ni Tajiri Sana
Akichuma Hapa Morogoro Tanzania
 
Back
Top Bottom