Anayeijua Samsung S8/S8+ anijuze

Anayeijua Samsung S8/S8+ anijuze

Ir blaster ni iPoje yani
ni simu kua na infrared, ambayo unaweza kuigeuza remote control ya vifaa vyenye kuwa remoted na infrared.
Wajuzi watanirekebisha
 
Usinunue simu ambayo imetoka zaidi ya miaka miwili hizo S8 za 2017 kwa hapa bongo sa hvi kupata mpya ngumu sana jiandae kuuziwa refubirshed....
 
Usinunue simu ambayo imetoka zaidi ya miaka miwili hizo S8 za 2017 kwa hapa bongo sa hvi kupata mpya ngumu sana jiandae kuuziwa refubirshed....
hata maduka ya wakala Samsung?
 
Ukienda maduka ya mawakala wa Samsung labda japikuwa ngumu sana kukuta wakala anauza simu ya 2017 wengi wanauza zilizotoka hivi karibuni...

Hizo unazoona huko kariakoo sijui laki sita na nusu nying refub
hata maduka ya wakala Samsung?
 
Wapi huko mkuu naweza badilisha? Nataka kubadili S10 + yangu mwakani.
Kuna kitoto cha chuo hapa ud kizuri nilikua nakitongoza kinazingua zingua, baadae kikanipa uchi kwa mbinde balaa. Bahati yangu nzuri nilikua na s8+ ila nilivunja kioo ikawa inastack, nikaitengeneza nikakapatia, yaani sijui hakajawahi kutumia hizi high end devices, yaani toka nimempa daily ananishukuru, akija home ananipa uchi kwa moyo wote najitafunia bila shida. Kila siku ananishukuru kuhusu hii simu, nikajua haka kalikua kamezoea tecno sasa nimekahamishia ulimwengu mwingine lazima kachanganyikiwe.

Mimi na samsung samsung na mimi, niliwahi kutumia matakataka ya apple ila yakanishinda, hapa najichanga nasubiri s11 mwakani, maduka ambayo hua nanunua simu hua unaruhusiwa kubadilisha tolea la zamani kwenda mpya.
 
Back
Top Bottom