Anayeifahamu GIO

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu... naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu NGO iitwayo Graduate International Organization (GIO)... Hawa jamaa walitangaza nafasi za volunteer na wameniita kwenye training... Naomba mwenye maelezo zaidi na hii NGO anisaidie... Naomba kuwasilisha......
 
Nenda kafnye kaz au uendlee kubak nyumban kula ugal wa shikamoo.
 
Toa maelezo yaliyo kamilika, sema ukweli kwamba wamekuambia uchangie pesaa bhanaa! Training mnaanza lini??
 
wameniambia training ina cost elf 50 na ndio maana Nina doubt... je nifanyeje apo....
 
usichangie pesa yeyote..ni matepeli hao.....watu wamfuatilia hadi zanzibar wanakosema no exist....
 
Mm niko Zanzibar nimeulizia hiyo ofis haipo kabisaaa usijiiangaisha walinitumia hao nikawa naangaika kitafuta ofisi yao na bahat mm niko zanj hao weziii
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…