Anayehitaji line ya uwakala wa m-pesa aje hapa

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji ani-PM tuongee biashara
 
Kisheria ama kitaratibu za vodacom inaruhusiwa kuuza au kununua?

Je, mtu akinunua anabadili jina? Au inakuaje? Naomba kufahamu kabla hatujaenda hatua ya biashara
 
Unaendelea kutumia jina la aliyekuuzia
 
Unaendelea kutumia jina la aliyekuuzia

Ni hatari kuendelea kutumia jina la muuzaji maana waweza mgeuka. Mimi niko tayari kununua ikiwa tutabadilisha jina kisheria. BTW unaiuzaje (bei)?
 
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji ani-PM tuongee biashara

Mura niko hapa tegeta kibaoni pm unipe number yako nikupigie tufanye biashara napatikana karibu na family bar
 
Back
Top Bottom