IVORY TOWER LTD
Member
- Feb 2, 2017
- 35
- 10
bei zinatoofautiana kulingana na floor ivyo ingekuwa vizur ufike ili uone bei ambayo unaweza kuiafford, na ss hv tuna promosion karibuSh ngapi?
Ukifika maelezo yote utapata karibu!Nani mmiliki wa hiyo apartment?
Ungeweka range the lowest to highestbei zinatoofautiana kulingana na floor ivyo ingekuwa vizur ufike ili uone bei ambayo unaweza kuiafford, na ss hv tuna promosion karibu
kwa sababu utaweza kuiona mwenyeweUkifika maelezo yote utapata karibu!
Ungeweka range the lowest to highest
karibu uione kabisa zote nikubwa!Living area ni sqmts ngapi...kubwa yao
Duniani kote bei za nyumba uweka hadharani sijui why Watanzania atuna tabia hii. please weka beiIVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na mzumbe university,mtaa wa mfaume, na unaweza kutumia mwendo kasi kwa usafiri wa haraka, mauzo hayo ni kwa bei nafuu kabisa karibu piga namba 0766627538
KARIBU MILIKI APARTMENT YAKO. UNAKARIBISHWA HATA KUFIKA KUANGALIA TU.
BEI NI NAFUU MNO KARIBU UIONE MWENYEWEacha maneno weka bei
Tatizo la kununua apartment ni kwamba "monthly service fees" wakati mwingine ni sawa na bei ya kupanga kwenye "high density". Kama utanilipisha TZS 200,000 kwa mwezi kwa mtaafu hapo namiliki nyumba au namilikiwa?IVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na mzumbe university,mtaa wa mfaume, na unaweza kutumia mwendo kasi kwa usafiri wa haraka, mauzo hayo ni kwa bei nafuu kabisa karibu piga namba 0766627538
KARIBU MILIKI APARTMENT YAKO. UNAKARIBISHWA HATA KUFIKA KUANGALIA TU.
Mmh haya banaNi vigumu mm kukutajia bei kabisa km unaweza kufika ukaiona itakuwa vzr, naweza kukupa maelezo jinsi ya kufika
karibu
i am interested in this. how much cost if i want to buy one