Habari za weekend.
Kwa wale wasichana au akina mama wanaosoma/watakaosoma vyuo mbalimbali Nairobi Kenya,ninawatangazia kuwa kuna hosteli ya jinsia ya kike pekee inapatikana katikati ya jiji la Nairobi,Kenya.
Single self room with en suite bathroom(chumba na choo chake kwa mtu mmoja)
Sehemu ni tulivu yenye high maximum security.
Bei ni 19,000KSH kwa mwezi inajumlisha chumba,breakfast na dinner.(Umeme na maji ni 24hrs inajumlishwa kwenye bei)
Sehemu ina parking kubwa na salama,endapo mhitaji atakuwa na gari.
Mawasiliano: 0752489529