KumbeePeleka SUA Morogoro kuna utafiti mpya JINSI YA KUTUMIA BUNDI KUJIKINGA NA WANYAMA WAHARIBIFU WA MAZAO USIKU.
Huna connection ya mtu aliepo hapo SUA?Peleka SUA Morogoro kuna utafiti mpya JINSI YA KUTUMIA BUNDI KUJIKINGA NA WANYAMA WAHARIBIFU WA MAZAO USIKU.
Kwamba...Hebu fanya kumfuga hata kwa miaka 2 hivi, ili umuuze kwa bei nzuri.
Hauna Aina nyingine? Huyo mbona anaonekana wa Dar!! Nahitaji wa Sumbawanga,kigoma au hata Tanga.
SinaHauna Aina nyingine? Huyo mbona anaonekana wa Dar!! Nahitaji wa Sumbawanga,kigoma au hata Tanga.
Lkn watu wanawaogopa hatareeNilimuona Bundi Dodoma Jamhuri Stadium
Haa
Kwenye Banda La SUA
Kwenye Maonyesho Ya Vyuo Vikuu, Vya Kati
Anafaida Nyingi Sana Bundi