apologize
JF-Expert Member
- Jul 22, 2015
- 709
- 570
Habari wakuu, Kuna ndugu yangu kapangiwa huko kikazi naomba kujua mambo haya.
Gharama za usafiri kutoka Dar mpaka Kalambo na unapanda magari yanayoenda wapi?
Hali ya mazingira ikoje hasa kwa miundo mbinu kama maji na umeme
Gharama za gest house zikoje maana hana ndugu wa kufikia
Vyumba vya kupanga gharama zake zikoje?
Na halimashauri kuna umbali gani kutoka bus stand atapotakiwa kuripoti.
Naombeni ushirikiano wenu kwa wenyeji na wote waliopata kuishi au kupita maeneo hayo