Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

Mlio chaguliwa NIT muwe wapole maana hk chuo huwa cha mwisho kufungua km mtawah labda mtafungua mwez wa 11
 
samahani mkuu NIT washatoa post za degree jamni
Ebwana mm mwenyewe nasubiria hao N.I.T maana kwenye profile yangu inaniambia i have been provisionally selected ila nilivyoomba DIT, NIT,UNIQUE ACADEMY na Arusha but ni arusha tuu ndio waliotoa majina na DIT leo nategemea hao NIT vilevile sina uhakika kama washatoa ama laah.. maana jana niliona majina yamepigwa picha halafu hayakukamilika so tusubiri
 
NIT first batch tayar
 
majina first year waliochaguliwa yapo chuoni na kuhusu tarehe ya kuripoti inasemekana itakuwa 28 november
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…