Nimegoogle nikaona zipo simu za android ambazo zina physical qwerty keyboard, lakin katika pita pita zangu madukani sijawah kutana nazo. Kama kama unaifaham simu yenye sifa hzo, ambayo inapatikana bongo em nijuze nikaitafute...hzi touch ni nzuri ila nakosea kosea sana, juzi imeniaibisha sana baada ya kumtext tusi mtu nnayemuheshimu. Nilidhan ntaizoea ila haizoeleki