Wewe unayetaka kufanya trasactions lazima uwe umeishajiunga na NMB Mobile. Kama unatumia Airtel dial *150*66*01# kisha fuata maelekezo. Ila kama unatumia voda utalazimika kutumia ATM machine kujisajili. Chukua kadi yako ya ATM nenda nayo maelezo mengine utayapata wakati wa kujisajili.
Mimi nakushauri utumie Airtel , hawana extra charges wakati wa kutumia mbali na ile tsh 100/= wanazokata benki kwa kila huduma.
inaonekana mitihani hua unafeli sana. Unaulizwa NBC unajibu NMB!
Wewe unayetaka kufanya trasactions lazima uwe umeishajiunga na NMB Mobile. Kama unatumia Airtel dial *150*66*01# kisha fuata maelekezo. Ila kama unatumia voda utalazimika kutumia ATM machine kujisajili. Chukua kadi yako ya ATM nenda nayo maelezo mengine utayapata wakati wa kujisajili.
Mimi nakushauri utumie Airtel , hawana extra charges wakati wa kutumia mbali na ile tsh 100/= wanazokata benki kwa kila huduma.
NBC bado hakuna hiyo huduma. Ila wako kwenye process, na ilitakiwa izinduliwe kabla ya NBC Mastercard. Kuna mambo hayajakaa sawa.