Anayefahamu kikundi chochote chenye access na bima ya afya (NHIF)

Daviie

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
1,292
Reaction score
1,483
Wakuu habari zenu.
Kwa yeyote mwenye kufahamu kikundi ambacho kinawawezesha wanachama wake kupata Bima ya Afya tujuzane tafadhali, ikiwa Dodoma au Dar es salaam itapendeza zaidi. Naombeni sana ushirikiano wenu!
Nb: kama unaweza kuweka na masharti ya kikundi unachokifahamu itakuwa vizuri zaidi.
 
Nilisikia kama bima

Nilisikia kama bima za vikundi zimesitishwa hata hivyo juzi kati nilisikia wanaandaa utaratibu mpya wa vifurushi vya bima kwa watu binafsi.
 
Bima inakuwa gharama sana kwa sababu wengi wetu tunakata hizi Bima pale tunapoumwa tu. Ukikuta mtu anaulizia Bima, wengi wao wamekutwa na gonjwa.
 
Ni kweli lakini mimi nimeugua muda mrefu, nimetibiwa awamu zaidi ya nne bila Bima na sasa nipo tu nyumbani najiugusa kwa kutomudu gharama za matibabu zaidi hivyo natafuta njia mbadala ili nirudi tena Hospitali kwa mara nyingine licha ya kwamba ugonjwa umekuwa sugu ni kama unataka kunichukua mazima nisipofanikiwa kuendelea na matibabu
 
Ulipona?
 
Back
Top Bottom