ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Habari ya miaka minne iliyopita unatuletea leo,we mpuuzi.
Hutaki historia? Unataka future isiyo na chimbuko ? Pole ndugu yangu WAFWA.
Habari ya miaka minne iliyopita unatuletea leo,we mpuuzi.
Habari ya miaka minne iliyopita unatuletea leo,we mpuuzi.
siyo mbaya kama wasiyoyajua wajue waone mafisadi papa na nyangumi wanavyoimendea gesi yetu nyuma ya lohasaHii ni habari ya zamani mbona?
Pia katika majuha waandamizi nawe umo, kwa maana unatuthibitishia kuwa ni Lowassa aliyemuweka madarakani Kikwete, akipenda CCM lazima uwe punguaniHistoria maana yake nini? Ni afadhali ya miaka minne je wewe uliyesoma ya miaka 2000 iliyopita na ukaiamini kuwa nabii Isa alikuwepo na Mtume Mohamed pia na mpka leo hivyo vitabu unavigwaya kati ya cha kwanza au cha pili mbona hujahoji? Historia husomwa kumufahamisha msomaji anakotoka alipo na anakoelekea mwandishi alikusudia kukufahamisha hujuma iliyofanywa na Lowasa kwa kushirikiana na Rostam Aziz ambaye pia ndiye anashirikiana naye kwenye Ukawa.
Nasikia huyu Rostam ndio swahiba wake na Lowassa.
Ndiyo A T M ya Lowasa na mafisanza wenzao.