HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,186
- 3,479
Maoni ya Ndg. Edo Mkuu, je sio uhalisiaWayahudi mnawakuza sana.
Somebody From FacebookHuyo Edward ni Nani kiasi kwamba watu wachukulie maanani anachosema?
AiseeWaarabu wa BUZA watabisha sababu wameaminishwa na kina sheikh kipozeo na kishki
WanakusikiaWalokole wakisikia hiv, wanakenua meno kama wehu
Mkuu tukiondoa upande wetu wa ushabiki,huo ndo uhalisia..wayahudi waliopo USA ni wengi kiliko waliopo israeli...inasemekana ni zaidi ya mil 20.Wayahudi mnawakuza sana.
Inasemekana! haijathibitishwa kuwa wao ndo wanaamua.Mkuu tukiondoa upande wetu wa ushabiki,huo ndo uhalisia..wayahudi waliopo USA ni wengi kiliko waliopo israeli...inasemekana ni zaidi ya mil 20.
Hao jamaa ndo wameshikilia maeneo mengi huko USA,kuanzia uchumi n.k.
Na wao inasemekana ndio huamua Raisi wa marekani awe nani,ndo maana hakuna Raisi wa marekani aliyewahi kwenda against na Israel bila kujali anatokea chama gani
Mchambuzi uchwara ina maana hajui tofauti ya Israel na wayahudi?ndio mana nikuambia kua Marekani🇺🇸 haina ujanja mbele ya Israel🇮🇱 kwa sababu Israe 🇮🇱 ina watu wazito kule America mpaaka ndani ya serikali yenyewe na wengine walishawahi kushika mpaka nafasi kubwakubwa serikalini, lakini America haina watu wazito ndani ya serikali ya Israel
Matamshi yalitolewa na nani na lini? Somalia imewahi sema itafuta Israel? Mbona Israel imeunga mkono somaliland kujitenga na Somalia... na inataka kuweka kambi ya jeshi ili kuwalinda in case Somalia ikitika kurejesha eneo lake. Na wao je walisema wataifuta Israel?nikutokana na yale matamshi ya mara kwa mara ya viongozi wa Iran kua wanataka kuingamiza Israel. Maneno yale Wayahudi wenyewe hawakuyapuuza na ndio yaliyosababisha hv vita."
hivi unajua kuwa hao unaowaita walokole ni wayahudi kwa imani kupitia kwa Ibrahimu na uzao wake?Walokole wakisikia hiv, wanakenua meno kama wehu