Ndio maana offer ya kongosho imekuwa rejected. Inaonekana kunaweza kuwa na offer nzuri hapa. Bei maelewano.
Ndio maana offer ya kongosho imekuwa rejected.
Inaonekana kunaweza kuwa na offer nzuri hapa. Bei maelewano.
Naona EMT karudi kuamua sasa, anaringaaaaaa mwenyewe.Umereject au nimeamua kumwachia Mwali?
Maana presha ilikuwa inapanda na kushuka.
Hicho kiazi, nakitafutia biology yake kwanza.
Umereject au nimeamua kumwachia Mwali?
Maana presha ilikuwa inapanda na kushuka.
Hicho kiazi, nakitafutia biology yake kwanza.
Naona EMT karudi kuamua sasa, anaringaaaaaa mwenyewe.
Haya baba, nadhani hadi sasa mteja sirias ni mimi tuu.
Konnie aliamua kuniachia nafasi.
Hicho kiazi sijakipenda kwa kweli. Hakijakaa vizuri kabisa.Mwenye mali kwa nini asiringe hasa kama wateja wengine wanavutitwa na bidhaa yenyewe? Wateja ni wengi, sio wewe tuu. Tena kuna wengine wanataka kununua both kiazi cha Smile na puppy wangu for a very good deal. Nawasiliana na Smile kama kuna uwezekanao wa kupiga "wholesale" kabisa hapa.
Unataka kumpeleka wapi?
Ni PM.
usinambie na wewe unamtaka bwana...niliku PM hujanijibu mpaka imekuwa reversed!
Lahawlah wallah Quatah! God can surely play some practical jokes...
Simtaki huyu Smile, asante. Mi nataka yule wa EMT tuu.
usinambie na wewe unamtaka bwana...
niachie plz! mwenzio I am so lonely!
Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.@EMT
ha ha ha , i love your guts!
Utaireject offer yangu? Afu hutaki niwithdraw?
Basi ngoja nicompete na Mwali seriously, naona dalili za mafanikio ni kubwa.
@Mwali(nakunong'oneza) ntakupa wewe nikishinda, ila tu uniridishie pesa yangu.
Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.Hicho kiazi sijakipenda kwa kweli. Hakijakaa vizuri kabisa.
Niko tayari kulipa bei ya vyote viwili ila nisikioni karibu yangu
Kongosho, kama unataka wewe nunua kiazi, niachie mbwa.
niliku PM hujanijibu mpaka imekuwa reversed!
Shame on you! :redfaces:Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.
EMT what is this bwana, are we playing a fair game here???? :teeth:am lonely as much as never tumsubiri EMT aje kwa kweli tupige mnada and i promise you i wont løse.
Shame on you! :redfaces:
am lonely as much as never tumsubiri EMT aje kwa kweli tupige mnada and i promise you i wont løse.
EMT what is this bwana, are we playing a fair game here???? :teeth:
Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.
Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.
Sijaona PM yako. Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
Well, if you judge books by their covers nakuacha. Lakini umeshawahi kusikia mtu akimtukana mtu kuwa anakichwa kama kiazi lakini his/her favourate food ni viazi? Kuna mpaka viazi vitamu, na vimeitwa hivyo japokuwa kuwa na shape mbaya kupita hata viazi vingine.
Alichosema Kabakabana kinaitwa "invitation to treat". Lakini invitation to treat is not an offer capable of being accepted. I will only accept the most attractive offer not invitation to treat
EMT, umenitisha sana hapo... hivi inakuaje watu tunabid woteLabda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
Hiyo post ni Mwali kahack account yangu, tena mie nataka kiazi na mbwa wake. Vyote ntavitumia mwenyewe.Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.
itakuwa ni Mwali, anapenda kucheza rough sana.Sijaona PM yako. Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
EMT, umenitisha sana hapo... hivi inakuaje watu tunabid wote
halafu wengine wanakua (possibly) na access ya PM zako?
I just hope wanaona PM za biashara tu, zile za uchaguzi ulifuta.