William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Habarini wanaJF,
Kuna msichana hapa mtaani kwetu kila tukifanya mapenzi tukifika katikati ya mechi anatokwa na damu. Sio bikra lakini hii hali hujirudia mara zote.
Je inaweza kuwa ni ugonjwa? Na kama ni ugonjwa nini tiba yake?
Nawasilisha.