hapa wametumika wote akuna alotumiwa na hili huwa nalitafakari naona ntakuwa nimekosea kusema amenitumia akaniacha, kivipi na akat nimekubali kwa akili yangu cjalazimishwa?
Kacheck status ya afya yako km mzima we kaa kimya ayo ni maneno tu ata akikutext usiangaike kujibu wala sim zake usipokee ataacha. Unajua hakuna jibu zuri kwa -------- km kukaa kimya!
Nimekua kwenye uhusiana na dada mmoja lkn juz kati niliamua kuachana nae ili kujitoa kwenyd mtandao. Sasa amekua ananitumia sms za vitisho na kunambia chochote kitakachonikuta nimlaum yeye. Wapenda nifanyaje?