Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
Suala hili ni serious! Ndoa fulani zinadumu kwa sababu ya watoto au kuogopa aibu lakini kuna tabu kubwa kwa sababu ya kutotoshelezana katika sex. Wengine ndio wanaishia kucheat ili kukata kiu. Kwa hiyo masuala haya hayana majibu rahisi, unaweza kushauri wasubiri kumbe mmoja anataka amuingize mkenge mwenzake:shock:.....mi nawashangaaga wanaonunua mbuzi kwenye gunia, mara unamfikisha nyumbani sio mbuzi.
unaezakuta hana, au analo oversize,au kaduchu sana, shida za ini sasa!!
Mimi huwa siwaelewagi wasichana mabikra..kuna mmoja nilibahatishaga lakini akawa anazingua kutoa mzigo..nikashindwa kuvumilia ila kizuri alinipotezeaga yeye..then akarudi tena..akasepa tena..ila cha msingi bikra ndo ikawa inampa kiburi design akawa anajiona kama vile anapassport ya kuolewa na mtu yeyote nin full kunihubiria nin..kumbe akapataga jamaa mwenye chapaa kimtindo mchizi kapiga nae misele, mixa outings nyingi nin..daah mchizi baada ya kula mzigo akaamsha..bi dada sasa hivi full stress ingawa nampenda..kaja kuleta conversation piga chini kama kawa..point ya msingi..dada eeh..kwa kipindi hichi bikra si kitu muhimu..maana mwanaume anaweza hata kuoa ili mradi atoe hiyo kitu..baada ya hapo cha moto utakiona..hujawahi sikia watu wamebaidili dini baada ya ndoa wakarudia dini zao..?? bikra sio passport..!!!Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
kutokana na principle ya USE AND DISUSE THE MORE THE ORGAN IS FREQUENTLY USED THE MORE IT BECOMES EFFICIENT bora ampe tuShikilia msimamo wako wa kutompa utamu. Mwambie utamu ausubiri baada ya ndoa tena kwa raha zenu.
Haya ni mambo yenu binafsi, wewe na huyo mchumba wako. Mlipokutana mlitushirikisha? Hayatuhusu mambo yenu.Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
kutokana na principle ya USE AND DISUSE THE MORE THE ORGAN IS FREQUENTLY USED THE MORE IT BECOMES EFFICIENT bora ampe tu
Hahahah pole patna wala usibadili lako jina...
Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?