Anataka tuachane, nifanyeje?

ili uweze kusaidiwa ni budi ukawa muwazi zaidi. Naona unatafuta ushauri kwa watu ambao hawajui hata chanzo ni nini!! Siamini wazo la yeye kutaka muachane likikuja kama radi. lazima kuna viashiria vingi vilikuwepo kabla ya tamko rasmi.
Hata hivyo pole ni wakati wa kujiangalia wewe kama wewe ili jambo hili lisijirudie huko mbeleni.
 
kaka yy hajatoa sababu yoyote.
 

Na ili nijukwaa la nini kumbe????
 
Mwache aende utaendelea kumlilia hadi lini??
 
choma moto gethoo lake muibie baadhi ya vitu si usema umewekeza kwake baada ya hapo atakutafuta tu hapo ndo utajua kuwa anakupenda kuliko ww unavyompenda...fata ushaur huu umesaidia wengi
Achome geto!!!
 
Sikuwa na gf mwingine.alikuwa yy pekee
Pole sanaa but siku nyingine usirudie kua na relation na mtu mmoja jitahidi kua nao hata wanne ukishindwa kua nao hata wawili hiyo itakusaidia mmoja akikuacha anakuapo wa kukuondolea stress!
 
Njoo kwetu sisi tukupe ile kitu uipendayo,acha kuwekeza kwa watu wasiojua kupenda.
 
Afadhali huyo amekuwekea wazi kuwa muachane, kuna wengine atakuchuna huko pia ana wapenzi wengi pia. Japokuwa wengi wanasema uachane nae lakini najua sio rahisi kihivo. Maumivu ya penzi mpk yaishe utakuwa umeumia moyo Sana na alieko nje anakuona km unafanya upumbavu kumwaza mtu aliekuacha. Itakugarimu miezi kadhaa hivi au mwaka kusahau na siku ukisahau usirudie kumweka mtu moyoni tena atakuumiza tu
 
Kashapata mwengine bora mpe nafasi ni heri amekuambiwa kuliko kukudanganya wakati kakuchoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…