Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Hali hii inauma sana pindi unapokutana mayo, cos ulikuwa umeshaweka mipanho Yote sawa

Kikubwa hapo heshimu mawazo yake maana kashaamua..Na hapo kashaweka DOA, kwenye hayo mahusiano maana ndio ulikuwa kwenye finalisation stage YA kuwa mwili mmoja

Kwakuwa kashaamua Na wakati Jambo analijua lililopo mbele ni harusi..nakushauri move on..japo inauma saana tena sana Ila ndio mdada huyo kashaamua kutoka kwenye maisha yako

Nenda ukae Na familia yako waeleze kila kitu,Kisha funga mkanda Anza upya maisha yako pasipo yeye kuwepo kwenye maisha yako Na funga Vioo tinted dhidi yake

Hivi inawezekana mahari kurudishwa..au kiendacho Kwa mganga hakirudi, Kaa na familia Yao wabane warudishe hiyo mahari..over
 
Kafungue kesi ya madai Mahakamani na utarudishiwa garama zako zote na hiyo case inabidi ukaifungulie mahakama ya mwanzo huko wanapoishi wazazi wake. Kiufupi huyo mwanamke hajielewi na amewatia matatizoni wazazi wake coz wakishindwa kukurudishia mahakama ina haki ya kuuza mali walizo nazo ili upate stahiki yako. Kiufupi amewatia aibu wazazi wake au ukiamua kumalizana nao kwa njia za kusameheana sawa Ila huyo mwanamke hakufai tena.
Kiufupi alikuwa anakutumia kama mfanikishaji wa mambo yake alijua ipo siku mtaachana tu so baada ya kuona upo serious na ndoa ndio hayo yaliyotokea. Akili kumkichwa mkuu
 
Humkojozi au anahisia na dogo mwingine
 
Mkuu unataka Mungu akusaidieje zaidi ya hapo? Unataka nini mkuu?

Yaani ni vile tu umΓΉejawa feelings zinaondoa uhalisia wa akili. USIMLAZIMISHE PLEASEEEEEEEE! Atakutesa milele!

Mkubalie kuachana japo inauma. Mkubalie mkuu amini nakwambia

Shida ni kwamba ulikuwa hujaingia kwenye mfumo wake. Kashapata aliyeingia kwenye mfumo wake, achana nae. Atarudi kwako kwa magoti baadae.

Kama ubinadamu wako umefikia asilimia 70 kwenda juu achana na hiyo mahari, potezea tu ila ikiwa vipi idai tu japo kuidai hiyo mahari ni kutafuta kuendelea na mawasiliano nae na ndugu zake tu
 
Kama ni mkristo, hapo hakuna ndoa.

Pia unaruhusiwa kumdai all maintenance ulizokuwa unamfanyia kwa sababu amekuingiza hasara kwa makusudi.
Hasara ya muda
Kisaikolojia
Kiuchumi


Kimsingi huyo ni muuaji na Mungu kakuepusha.
 
Duh ,achana naye,nature huwa ina tabia ya kubaini yajayo na hivyo kama ni mabaya hujaribu kutuepusha, na kwa kuwa binadamu hana uwezo wa kujua yajayo yeye hulazimisha na matokeo ya kulazimisha huko ni Makubwa sana.


Binti sio fungu lako ,sioni haja ya wewe kujuta kwa sasa ila kama utalazimsha
Utajuta sana

.

Let her go!
 

So hard
 
Tena shukuru katoa makucha kabla ya ndoa! Mungu kakuepusha na mengi! Kadai mahari yako!
 
Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.

Sikiliza kamanda...

Fika nyumbani kwao, nenda kadai urejeshewe mahari yako...

Huyo mbwa wewe muache aendelee kutanga na dunia, wala usimtafute au kumuuliza jambo lolote...

Ukianza tu kubembelezana na kutaka sijui kurudiana, wewe ndiye utayegeuka kuja kuwa asusa na hakuna rangi utacha ona...

Sijui kama umeelewa na una kifua cha kufuata huu ushauri!
 
Mshukuru sana Mungu kwa hicho mkeo mtarajiwa alichoonesha kabla hamjafika mbali zaidi, mahari uliyotoa sioni hasara kama hasara ambayo ungeipata kuishi na mwanamke asiyekupenda siku zote za maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…