ni kweli lakini siku zote mwanamke anatakiwa amfuate mwanaumeKama kweli unampenda badili wewe dini kitendo cha kumwambia mwenzako abadili dini wakati wewe hutaki ni cha ubinafsi na sidhani kama kweli mnapendana kama unavyotaka kutuaminisha kwenye mapenzi ya kweli dini ni kikwazo kidogo sana
kutokana na tabia zake upendo wake juu yangu ananifaa kabisa ila tatizo ndio hilo tuAnakuafaa kimaisha kivipi? Anakulipia kodi ya nyumba? Manake vijana wa siku hizi mi siwaelewi. Tuanzie hapo.
ni kweli lakini siku zote mwanamke anatakiwa amfuate mwanaume
hahahahahaha daaaaah inawezekana anampatiaga mtaji kwenye business....jombaaaa.....Anakuafaa kimaisha kivipi? Anakulipia kodi ya nyumba? Manake vijana wa siku hizi mi siwaelewi. Tuanzie hapo.
nafikiri ni hivi mwanamke wa kiislam yeye hana dini kuna surat na aya fulani inasema hvyo nilisomaga zaaamaaaan sana nikikumbuka ntaileta hapa lkn mwanamkw wa kikristo hiyo kitu haipo..mwanamke ni full dini...Hapo kwenye red, mwenye shida sana ndio anamfuata mwenzie
, jipimeni.
ni kweli lakini siku zote mwanamke anatakiwa amfuate mwanaume
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini
Mapenzi Hayana dini.nendeni mahakamani .kwa nini wewe usiwe mkristo?Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini