Asijaribu ku-do kabla ya ndoa ila binti aking'ang'ania wewe niunganishe na huyo bi harusi nilale naye kabla ya harusi,hii ni ktk kumsaidia bw harusi asitende dhambi kulingana na imani yake.
Dah, asee umenifurahisha sana ila mi was was wangu jamaa inawezekana ana kidole kile cha mwisho (wanakiita cha shahada) so anaogopa asije kukimbiwa bure kabla ya harusi! Mi ndo ningekuwa bi harusi, ningemomba anioneshe tu saiz ya kidude then tutasubiri hadi ndoa manake watu wengi sku izi wanauziwa mbuzi kweney gunia
kwani wolokole hawa duu? basi mwenziwe alishaduu mpaka kachoka ndo kaokoka sasa kifunza kinampekecha, yeye asikubali ampe nafasi ende kwa mwenziwe akamshughulikie japo kwa mara moja tu amtulize.