Anataka pete yke au Roho yangu?.....sielewi

Anataka pete yke au Roho yangu?.....sielewi

Kwa mazur gn aliyonitendea mpk nimpgid cm?cna muda mm wakumpelekea pete yke,leo ndo nmeamua kumtuma mtu aipeleke.

kuendelea kubaki nayo ndio chanzo cha kuendelea kuwasiliana.......mpe mtu fast arudishe
 
..chezea dume jeuri wewe, ngoja uone vumbi...
 
STOP PATRONIZING WITH THE ENEMY!!!!!!!!!! We tafuta mtu apeleke kipete hicho, afu chuna kimoja! Hana jeuri yoyote kidampa tu huyo!

Ila ukiwa unampigia pigia simu kumchokoa mbona vita vya 3 vya dunia vitakukumba! Kata mawasiliano Baaaaaaaaaaaasss! Yaani mimi ningekuwa ndo huyo mama yako Nawacharaza bakora wote wawili wewe na huyo mpuuzi mwenzio!
Lala 1, aipeleke polisi ataikuta huko huko.
 
Last edited by a moderator:
Sikushauri hata kidogo kupeleka hiyo recording polisi aisee, Serikali hii ya kwetu???? Wewe utaona kama ni ushahidi tosha wao wataenda mpaka TCRA kuchunguza mawasiliano yako yote na kama hukuwa msafi ktk mazungumzo yenu au na mtu yyte yule( i mean matusi, njama, vitisho n.k) you are finished. We kashtaki tu ttzo lililopo na jamaa watamsweka ndani.
Kama utapingana na kauli hii angalia mfano halisi wa jana tu pale Kisutu , aliyepost video ya kumtuhumu Rwakatare, na yeye pia kanaswa katika mashtaka. Yeye wamempa matatu, Rwakatale manne. Fikra zangu ndio izo
 
Mimi nafikiri ni muendelezo wa hadithi za Mzizi MKAVU
 
Last edited by a moderator:
..chezea dume jeuri wewe, ngoja uone vumbi...

Vumbi ataliona yy na kesha anza ona pia.....hii post nmeituma juz lkn ss hv moo wngu
umeingia ganz sihofu lolotw.Coz pete alinipa tena nakuniambia co ya ndoa labda heading ya thread ile ilitopta niliandika vbaya.
 
Sikushauri hata kidogo kupeleka hiyo recording polisi aisee, Serikali hii ya kwetu???? Wewe utaona kama ni ushahidi tosha wao wataenda mpaka TCRA kuchunguza mawasiliano yako yote na kama hukuwa msafi ktk mazungumzo yenu au na mtu yyte yule( i mean matusi, njama, vitisho n.k) you are finished. We kashtaki tu ttzo lililopo na jamaa watamsweka ndani.Kama utapingana na kauli hii angalia mfano halisi wa jana tu pale Kisutu , aliyepost video ya kumtuhumu Rwakatare, na yeye pia kanaswa katika mashtaka. Yeye wamempa matatu, Rwakatale manne. Fikra zangu ndio izo
Sijawah andika sms za vitisho zaid yy kunitisha.
 
Wanaume wanabadilika Preta.......alikuwa analia kitandan km mtoto lkn hayoyamenikuta.Nikimchunia anakuja chuo hata nywele hajachana analia lkn ndo mwsho wetu ndo huo.

hahahahahaaaaaaa sometyms tufanya ngono tukijua tunafanya mapenzi, kumbe tunafanya uadui unaotutokea puani mbele ya safari. BE STRONG AS UR NAME. usimuonyeshe hali ya kumuogopa wala kumjali. tena mchimbe biti la haja mpk ajiulize kama ni wewe au kuna mtu kakutuma. mkate maini kwa kuonyesha hujali vitisho vyake hata km utakuwa unatetemeka kimoyo moyo iwe siri yako. mpumbavu huyooooooo asikuharibie mood hana lolote. mwanaume wa kweli hana mambo ya kijinga ivo. huyo ni feki tuuuuuu..
 
Maajabu hayatakaa yaishe.........atampiga mama yako?.......hizo ni adabu za wapi...? Uliwezaje kuwa na mapenzi na mtu wa aina hiyo.......? Unanipa wasiwasi dada.......
preta unaonekana mtu flan serious sana. toka comments zako hadi avatar.-
 
hahahahahaaaaaaa sometyms tufanya ngono tukijua tunafanya mapenzi, kumbe tunafanya uadui unaotutokea puani mbele ya safari. BE STRONG AS UR NAME. usimuonyeshe hali ya kumuogopa wala kumjali. tena mchimbe biti la haja mpk ajiulize kama ni wewe au kuna mtu kakutuma. mkate maini kwa kuonyesha hujali vitisho vyake hata km utakuwa unatetemeka kimoyo moyo iwe siri yako. mpumbavu huyooooooo asikuharibie mood hana lolote. mwanaume wa kweli hana mambo ya kijinga ivo. huyo ni feki tuuuuuu..
Wee mbona nilimdindishia mwenyewe alikoma....hajapga mpk leo.Mbona humu nilihadithia nusu picha ila picha kamil lilikuwa nyuma ya lens.Sikutaka ujinga huo,ujinga wkt wa kwenda lkn kurud haina hyo.
 
Wanaume wanabadilika Preta.......alikuwa analia kitandan km mtoto lkn hayoyamenikuta.Nikimchunia anakuja chuo hata nywele hajachana analia lkn ndo mwsho wetu ndo huo.

dah! pole mpendwa, yaan nina kisa kama chako..baada ya mke kujua kuwa mume ana hawara nje moto ukawaka, ndoa inayumba. unajua mwanaume alifanyaje? alikuwa anamnyamba hawara yake ili apoze ndoa yake.. hawara alipojua hakuamini hasa alipoambiwa, hakuwa anapendwa alijipendekeza tu, anajishangaa kwann alikuwa nae labda alimroga! na maneno mengi ambayo hayatamaniki kusema..

Wanaume wengi wanatia nje lakini hawako tayari kupoteza ndoa zao hata cku 1. Huyo atakuwa anatapatapa kunusuru ndoa yake anakuona ww ndio nuksi wakati yy ndio mpumbavu. Tatizo ni hiyo pete irudishe mamiii, umshukuru mungu kwa yote. WW co wa 1 kubali hali halisi, kumkomoa hakutakusaidia kitu.
 
dah! pole mpendwa, yaan nina kisa kama chako..baada ya mke kujua kuwa mume ana hawara nje moto ukawaka, ndoa inayumba. unajua mwanaume alifanyaje? alikuwa anamnyamba hawara yake ili apoze ndoa yake.. hawara alipojua hakuamini hasa alipoambiwa, hakuwa anapendwa alijipendekeza tu, anajishangaa kwann alikuwa nae labda alimroga! na maneno mengi ambayo hayatamaniki kusema..Wanaume wengi wanatia nje lakini hawako tayari kupoteza ndoa zao hata cku 1. Huyo atakuwa anatapatapa kunusuru ndoa yake anakuona ww ndio nuksi wakati yy ndio mpumbavu. Tatizo ni hiyo pete irudishe mamiii, umshukuru mungu kwa yote. WW co wa 1 kubali hali halisi, kumkomoa hakutakusaidia kitu.
Yan we acha tu.
 
Back
Top Bottom