Anataka pete yke au Roho yangu?.....sielewi

Anataka pete yke au Roho yangu?.....sielewi

miss strong

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
7,011
Reaction score
3,708
Hi!.........Jana alinipgia cm ckupokea kwakuwa bdo nilikuwa npo bze na wana Jf ili nipate mawazo.........leo kanipgia mishale ya saa 10 nakuniambia kuwa anataka tuonane cku ya kesho.Nmemwambia kesho sina muda na ht hvyo nisingependa kuonana nae.Alipokata cm nlimtumia sms kuwa nisingependa aongelee uhusiano maana umeshaisha zaid nimpe pete yke na nitatumia njia yoyote il pete imfikie.Kwakwel tangia nimtumie sms hyo na kumwambia hayo yote ni matunda ya uongo wke.Akanipgia nakuniambia mara 4 yupo ktk kikao tena cha msing na akil yke nmemvuruga na atanifanya kitu mbaya.Anasema anakuja kufanya fujo hapa hom nakuniambia atanipga mm na mama ynguaana yy c ndo yupo nyumban......sielew tena tatizo ni kumwambia mkewe ukwel alivyonipgia cm au ni kp maana pete nairudisha.Amenip uua maneno meng tena yanayotishia usalama wngu nakujitapa kuwa namuonaje?Sina Aman kbs......Nataka kwenda police alafi maongez ya cku mbil hz mpk nimemchukulia pete nilimTape ktk cm.Mpk yakunikabidh hyo pete......yaan yote.NMECHANGANYIKIWA JAMAN!Au kisa nmemwambia mkewe nilidanganywa anisamehe?
 
Maneno ya mkosaji tu hayo lakini ni vyema pia kwendapolisi......miss strong show him how strong you are atakuwa mpole....
 
Hapo penz halikuwepo bali ilikuwa ni matamaniano sasa yameisha imebaki visa. Pole sana, ila jina lako(MISS STRONG) nadhani ndo suluisho
 
Mliokotana wapi? msondo ngoma?akupige wewe na mama yako?na ulikuwa unamuita baby? seriously?
Inaniuma hyo kauli......kias imenifanya kila nifikiriapo naona poa km noma na iwe noma maaana cjui kosa li wapi.
 
STOP PATRONIZING WITH THE ENEMY!!!!!!!!!! We tafuta mtu apeleke kipete hicho, afu chuna kimoja! Hana jeuri yoyote kidampa tu huyo!

Ila ukiwa unampigia pigia simu kumchokoa mbona vita vya 3 vya dunia vitakukumba! Kata mawasiliano Baaaaaaaaaaaasss! Yaani mimi ningekuwa ndo huyo mama yako Nawacharaza bakora wote wawili wewe na huyo mpuuzi mwenzio!
 
STOP PATRONIZING WITH THE ENEMY!!!!!!!!!! We tafuta mtu apeleke kipete hicho, afu chuna kimoja! Hana jeuri yoyote kidampa tu huyo!Ila ukiwa unampigia pigia simu kumchokoa mbona vita vya 3 vya dunia vitakukumba! Kata mawasiliano Baaaaaaaaaaaasss! Yaani mimi ningekuwa ndo huyo mama yako Nawacharaza bakora wote wawili wewe na huyo mpuuzi mwenzio!
Wala cjampgia cm.......wala ckuwa na ny*ge hzo kbs yan maana bomu limelipuka.Anatapatapa labda na mambo yke.
 
Maajabu hayatakaa yaishe.........atampiga mama yako?.......hizo ni adabu za wapi...? Uliwezaje kuwa na mapenzi na mtu wa aina hiyo.......? Unanipa wasiwasi dada.......


Wanaume wanabadilika Preta.......alikuwa analia kitandan km mtoto lkn hayoyamenikuta.Nikimchunia anakuja chuo hata nywele hajachana analia lkn ndo mwsho wetu ndo huo.
 
Hapo penz halikuwepo bali ilikuwa ni matamaniano sasa yameisha imebaki visa. Pole sana, ila jina lako(MISS STRONG) nadhani ndo suluisho

Yaaaaaaaaah.......ananiletea upumbavu kbs!akinizingua na mm ntamzingua
 
Nipe hiyo nafac najua kwasasa upo single ntakusaidia kufuta kumbukumbu ya huyo mtu hebu niPM
 
STOP PATRONIZING WITH THE ENEMY!!!!!!!!!! We tafuta mtu apeleke kipete hicho, afu chuna kimoja! Hana jeuri yoyote kidampa tu huyo!

Ila ukiwa unampigia pigia simu kumchokoa mbona vita vya 3 vya dunia vitakukumba! Kata mawasiliano Baaaaaaaaaaaasss! Yaani mimi ningekuwa ndo huyo mama yako Nawacharaza bakora wote wawili wewe na huyo mpuuzi mwenzio!


Wewe mbona mama yako hakuku chapa na yule mkinga? lol
 
hana jeuri huyo
mke kashamuacha na ww unamuacha
hajui pa kuanzia,atatulia mwambie akutue
pete tafuta mtu ampelekee au kamtupie ofisini
kwake!alaaa!


 
hujarudisha pete hadi sasa......unataka makubwa na simu bado waendelea kupiga na kupokea
 
hujarudisha pete hadi sasa......unataka makubwa na simu bado waendelea kupiga na kupokea

Kwa mazur gn aliyonitendea mpk nimpgid cm?cna muda mm wakumpelekea pete yke,leo ndo nmeamua kumtuma mtu aipeleke.
 
Back
Top Bottom