...anataka nipunguze mahaba,ntampa kisukari.

Kiswahili ni lugha nyepesi sana, ila kila nikija MMU huwa natoka kapa...
 
Mm pia kama wengi wenu humu sikuelewa mwanzo ila maana ni hv, furaha ama huzun ikizid sana inaathiri afya na hata kuua. Ukweli kakaenu niko na grade A+ kiasi kwamba shem enu nkisafiri wiki anaumwa na nkirud hawez tena fanya kitu kwa cku kadhaa za mwanzo kwa furaha anayopata hasa kwakujua atapata "mwana ukome" ya haja,sa kumbe ile cyo poa,kaenda hospital na ktk ushauri wa daktari kamwambia anisihi nipunguze ukali wa mechi siyo tu ntamfanya awe addicted ila naweza muua kwa kile alichotaja km 'kuzidisha Raha"
 
Ahaaaa! Kumbeee! Aisee, poleni sana.

ackowledge ulipoitoa hii story basi, www.mwanadada.blogsport.com
Habarin wana MMU, nimeshtushwa na kauli ya shemeji yenu. Ni kwamba alikuwa anaumwa jana akaenda hospital kwakuwa nlikuwa ktk sherehe za mapinduz sikuweza kumsindikiwa and was ok with her, jion wakati merud hm kama ujuavyo mambo ya kizungu nkaanza kumpetipet mama watoto ndo kwa unyenyekevu mkubwa akaniambia kambiwa na daktari anishauri nipunguze mambo kwakuwa nina utamu kupitiliza sa nkizid ntampa kisukari,meshangaa japo mejua kwanin nagombewa sana na maex zangu.
 
Back
Top Bottom