Dr. Ndimu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 717
- 146
Habarin wana MMU, nimeshtushwa na kauli ya shemeji yenu. Ni kwamba alikuwa anaumwa jana akaenda hospital kwakuwa nlikuwa ktk sherehe za mapinduz sikuweza kumsindikiwa and was ok with her, jion wakati merud hm kama ujuavyo mambo ya kizungu nkaanza kumpetipet mama watoto ndo kwa unyenyekevu mkubwa akaniambia kambiwa na daktari anishauri nipunguze mambo kwakuwa nina utamu kupitiliza sa nkizid ntampa kisukari,meshangaa japo mejua kwanin nagombewa sana na maex zangu.