The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 Oct 15, 2015 #2 Ukishapewa ushauri...usisahau 25.10.2015 kumpa Lowassa kura ya NDIO.
H hustle man. Member Joined Sep 20, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Oct 15, 2015 #3 Ww mpe haki ya ndoa halfu mpe utaratibu kuhusu mke wako
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Oct 15, 2015 #4 Hebu nione hizo picha anazokutumia!!
C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 162 Oct 15, 2015 #5 Wewe chapa tuu ili ajenge heshima mzee
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Oct 15, 2015 #6 madaktari wa siku hizi....majanga
hazel Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 159 Reaction score 169 Oct 15, 2015 #7 Yani unafanya kazi bado unakaa kwa babako tena nyumba ya kampuni..... Angalia msifukuzwe kwenye nyumba ya kampuni.....
Yani unafanya kazi bado unakaa kwa babako tena nyumba ya kampuni..... Angalia msifukuzwe kwenye nyumba ya kampuni.....
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 15, 2015 #8 Kumbe miandiko ya madaktari ni mibovu hata kwenye keyboard! Mimi nilifikiri wanapoandika "prescriptions" tu.
Kumbe miandiko ya madaktari ni mibovu hata kwenye keyboard! Mimi nilifikiri wanapoandika "prescriptions" tu.
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,299 Reaction score 9,797 Oct 15, 2015 #9 Mwambie utamsex mpaka Magufuli akiapishwa mpige calendar
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 674 Oct 15, 2015 #10 Utingo said: madaktari wa siku hizi....majanga Click to expand... Hakuna Dr. hapo kwa uandishi ule!
georgemwaipungu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,779 Reaction score 589 Oct 15, 2015 #11 FaizaFoxy said: Kumbe miandiko ya madaktari ni mibovu hata kwenye keyboard! Mimi nilifikiri wanapoandika "prescriptions" tu. Click to expand... Usisahau kumpa kura yako Lowasa
FaizaFoxy said: Kumbe miandiko ya madaktari ni mibovu hata kwenye keyboard! Mimi nilifikiri wanapoandika "prescriptions" tu. Click to expand... Usisahau kumpa kura yako Lowasa
deni JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 255 Reaction score 191 Oct 15, 2015 #12 madaktari hawanaga akili za hivi!
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,440 Oct 15, 2015 #13 sio wote wavaao makoti meupe ni madaktari wengine wauza nyama tu
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,386 Oct 15, 2015 #14 Hizi ndio zile picha(films) zinazotafsiriwa kwenye vibanda umiza
swabra chicharito Member Joined Oct 8, 2015 Posts 46 Reaction score 9 Oct 15, 2015 #15 daaah ndefu mm nimeshindwa,kusomaaa
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 491 Oct 15, 2015 #16 Chagua Magufuli
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 15, 2015 #17 Labda huyo demu ameshakatwa basi (kaumia).......
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 Oct 16, 2015 #18 DRLADENY said: Dileted.. Click to expand... Umemaanisha nini mkuu??
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Oct 16, 2015 #19 DRLADENY said: Dileted.. Click to expand... mwenyewe yupo jf nn mbona umedelete
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 16, 2015 #20 ICHANA said: mwenyewe yupo jf nn mbona umedelete Click to expand... hujambo mrembo wangu.