Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Hi wana jf nina mpenzi wangu ambaye niko nae mbali kidogo na nyumban kwao, yeye bado anasoma lakini mimi sisomi huwa tunakutana mara kwa mara tunapiga story za hapa na pale, niko nae katika mahusiano huu ni mwaka wa kwanza, lakini kitu kilichonifanya hadi kufika kwenu wana jf huyu binti ameniambia nimuoe na kitu ambacho kinamfanya hadi kufika hatua ya kusema hvyo enti wazazi wake wanamzengua, na kama nikichelewa atatoroka nyumbani
Jaman wana jf naomben ushaur wenu nifanyaje na huku bado ni mwanafunzi.
Jaman wana jf naomben ushaur wenu nifanyaje na huku bado ni mwanafunzi.