gentleman92
Member
- Apr 26, 2019
- 17
- 13
habari za majukumu wapendwa
naitwa joseph ni mfanyakazi niko katika mahusiano na mfanyakazi mwenzangu na wote tunapata mshahara ,
anapopatwa na tatizo huwa ananiomba msaada either wa mawazo na hata pesa nampatia
ila mimi ninapopatwa na tatizo hana msaada wowote zaid ya pole tu , hata kama ni tatizo la kipesa hawez nisaidia
je kwa nn kina dada wengi huwa ni wagumu kusaidia wenza wao
na je huyu ni mwanamke sahihi kwangu