Anataka niichape ila shida Location

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,

Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana. Sina gheto ngoma lazima iende Lodge, kila nikitazama gharama mpaka kumaliza mchezo nahisi itapotea si chini ya 50K,

Ngoma ngumu kweli kweli, 50K kwa siku ni kipande kikubwa sana kwa sisi wamiliki wa viwanda. Ni mtaji wa siku kabisa huo. Kila nikitazama pande sina option ila acha nitulize kichwa popote akizama italiwa tu.

Cc Zero IQ.
 
Kama upo Dar nitafute nikuazime getto langu la akiba. Hakikisha hiyo manzi inakariri njia vizuri ili next time aje peke yake. Hautojutia.
 
Kama upo Dar nitafute nikuazime getto langu la akiba. Hakikisha hiyo manzi inakariri njia vizuri ili next time aje peke yake. Hautojutia.
Niko Dodoma mkuu
 
Ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…