kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 343
Jamaa yangu aliombwa na jamaa moja mwenye pesa zake awe anamsaidia kumgegeda mke wake, sasa yule jamaa akawa alipiwa hotel na yule kibosile jamaa analaa na mke wa kibosile, ilikuwa ni mara kwa mara wanafanya hiyo michezo yao.
Saaa jamaa yangu amekuja analalamika anasema kuwa jamaa kamuahidi vitu vingi lkn hatimizi kitendo kilichopelekea jamaa kuchukua vidro kwa sili ili aombe kulipwa na kama asipolipwa aisambaze.
Mimi nimemshauri asiisambaze maana ikitokea akaivujisha hiyo ni kesi japo jamaa anasema anataka alipwe 15ml ili asiivujishe.
Jamaa anaomba ushauri