The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
-
- #21
Ili baadae uje umnange humu mitandaoni kuwa ni singo maza,ni Bomu na hafai kwenye jamii?Sishauri abortion isipokuwa kwa kulazimika kutokana na sababu za kitaalamu tu zinazogusa afya ya mama na mtoto baas
Si waona alafu washauri azae?Inasikitisha, mwanaume kumkimbia mtoto wake. Lakini pia inasikitisha sana mwanamke kutokuwa makini na mwili wake, kama abstinence imemshinda kwa nini asitumie kinga ili asipate mimba.
First time tunaweza kusema sio kosa, lakini kuruhusu mimba ya pili kwa mtu asiye mume ni kosa.
Asanteakatoe tu
siku hizi kuna wataalam wazuri tu
vijogoo vya siku hizi havilei watoto na tena watamtelekeza haswa
inategemea na umri, uzuri na sura aliyonayo km ni over 35 ndio ujauzito unafikia ukingoni
km yupo 25yrs and above atapata mwenza tu
😂😂😂😂😂😂😂anakuzuga hakuwa makini. Hakuna kitu Kama hicho kosa lishafanyika kikubwa Ajue namna ya kulitatua.Kumbe hamsomi content
Nimesema alikuwa anatumia njia ya uzaz wa mpango,sema anashangaa imetokea kapata ujauzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo nimemshauri atoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakuzuga hakuwa makini. Hakuna kitu Kama hicho kosa lishafanyika kikubwa Ajue namna ya kulitatua.
Tell her to avoid abortion please, maana yamungu nimengi mkuu, we muelezetu madhara ya abortion ikiwemo kupoteza uwezo wa kuzaa kwa mara nyingine tena:Iko hivi binti ana mtoto mzuri tu wa kiume 4 years now. Ni single parent na amekuwa akilea that boy alone since mimba till today. Baba mtoto alitelekeza mimba hadi mtoto,ingawa saivi anadai mtoto,ambaye kiuhalisia hawezi pewa.(kwa mujibu wa muhusika)
Point ya thread ni kuwa bidada amepata ujauzito mwingine wa mwanaume mwingine,mwanaume hajui kama bidada amenasa.Na kutokana na experience mbaya ya baba mtoto wake wa mwanzo,katika kuonyesha ushirikiano wa malezi,bibie ameamua kutoa.Uwezo wa kulea alone anao ila anasema alipitia experience mbaya sana ambaye imemwathiri kihisia na anahofu yasije jirudia.
Hivyo anaomba ushauri;
Je amwambie mhusika?
Au asimwambie na aitoe tu kimya kimya kuepuka drama kama za awali na first baby dad plus maumivu ya kipychology alopitia before?
Binafsi nimemshauri atoe mostly kutokana na lugha za kudhalilisha humu jf kwa single parents na jinsi jamii inavyowanyanyapaa single female parents.
NB;anasema alikuwa anatumia p2 kuzuia mimba toka ameanza mahusiano na huyu Mwenye mimba wa pili about a year ago,its just this time around kanasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamtoagi kauli hizo mkiwa mnawatukana na kuwadhalilisha singo maza humu jukwaan?ushahid wa hayo umo humu lolTell her to avoid abortion please, maana yamungu nimengi mkuu, we muelezetu madhara ya abortion ikiwemo kupoteza uwezo wa kuzaa kwa mara nyingine tena:
Istoshe mtu azaliwapo huzaliwa na bahati yake, huwezi jua huyo mtoto akikua/ akizaliwa atakua nani ndani ya jamii yetu,
Plz over plz mshauri aache, kama anao uwezo wa kuilea mimba jamani kwanin aitoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly[emoji122][emoji122][emoji122]Wanawake wengi wametoa mimba wakidhani ni solution ya matatizo yao ilihali wamejikuta wakiugua matatizo ya kisaikolojia na kimwili ukiwemo msongo wa mawazo. Nimeshauri sana wadada wengi wasije kujiingiza katika mchezo huu, wengine walisikia na wanashukuru sasa hivi wakiangalia wanao wanalia kwa nini walitaka kuwaua. Wengine walikaza shingo zao sasa wanajuta.
Kila jambo lina matokeo hasi na chanya. Ukitenda hasi ujiandae kupokea hasi. Dhambi/uovu huwa una tabia ya kujizidisha. Huyo mwanamke akubali kuwa alirudi kwenye uzinifu na hayo ndiyo matokeo. Ajikaze kwani daima kuna nafasi ya kujirekebisha. Mara nyingine tunajifunza kupitia makosa yetu na si aibu, aibu hiyo huja tukishindwa kujirekebisha. Nawe mtoa post usimuharibie mwenzako maisha. Akitoa mimba akafikwa na mauti ama kizazi kikaharibika ama akabakia na maumivu ya kudumu ya tumbo baadae yakazaa cancer utafurahi???? Tujifunze kujenga wenzetu na si kuwabomoa.
Na mwisho niwashauri dada zangu kuwa muache vidonge vya uzazi wa mpanga. Hii ni biashara inayowatajirisha watu wachache na daima hawawaambii ukweli. Laiti mngejua mnavyoangamizwa msingetaka hata kuvisikia. Mwili wa binadamu umeumbwa ukijiregulate wenyewe na si kutumia external force. Tumeshapoteza asili yetu kwa kujifanya wajuaji. Hatujiulizi wanyama wasio na utashi kwanini wanapata mimba katika muda sahihi na wanatunza watoto wao katika namna asilia???
Sent using Jamii Forums mobile app
So kama anaona hataweza kulea atoe,si ndio?Watoto ni baraka Kama anauwezo wa kipato wa kulea azae. Hizi kelele za Jf za single parents huwaga naziona changamsha genge kwangu huwa hazina uhalisia hata robo kwenye maisha yetu halisi ya kitaa.
The thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...Si waona alafu washauri azae?
Atoe tu hakuna mtu anapenda lea watoto peke yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mbonaa huelewi!!! We endeleenitu kushabikia dhambi,Mbona hamtoagi kauli hizo mkiwa mnawatukana na kuwadhalilisha singo maza humu jukwaan?ushahid wa hayo umo humu lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uwezo haupo aifaulishe tu asikipe kiumbe shida. Tayari atakuwa nawatoto wawili wote wanamuangalia yeye. Lakini asitoe eti kisa atadharaulika wakati uwezo anao .
HahahahahaThe thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...
Kwa sababu umesema uwezo wa kulea watoto upo, achana na kelele za watu, eti kuwa single mother kutakuumiza etc. Lea wanao, watakuwa faraja yako uzeeni.
Sawa ntamwambiaKama uwezo haupo aifaulishe tu asikipe kiumbe shida. Tayari atakuwa nawatoto wawili wote wanamuangalia yeye. Lakini asitoe eti kisa atadharaulika wakati uwezo anao .
Hizo sio shahawa...Ni mtoto kama ulivyokuwa wewe...! Vipi wewe Ungetolewaaa...Hahahahaha
Wanaume wa jf bwana
Wameona shahawa za mwenzao zinaenda tumbuliwa wanatoa ushauri wa busala
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunatofautiana pia mkuu, wewe lea watoto wako tu, hao jamaa wakija poa tu, wasipokuja utalea watoto wako fresh tu...Hahahahaha
Wanaume wa jf bwana
Wameona shahawa za mwenzao zinaenda tumbuliwa wanatoa ushauri wa busala
Sent using Jamii Forums mobile app