Anataka kuterminate ujauzito.

Anataka kuterminate ujauzito.

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Iko hivi binti ana mtoto mzuri tu wa kiume 4 years now. Ni single parent na amekuwa akilea that boy alone since mimba till today. Baba mtoto alitelekeza mimba hadi mtoto,ingawa saivi anadai mtoto,ambaye kiuhalisia hawezi pewa.(kwa mujibu wa muhusika)

Point ya thread ni kuwa bidada amepata ujauzito mwingine wa mwanaume mwingine,mwanaume hajui kama bidada amenasa.Na kutokana na experience mbaya ya baba mtoto wake wa mwanzo,katika kuonyesha ushirikiano wa malezi,bibie ameamua kutoa.Uwezo wa kulea alone anao ila anasema alipitia experience mbaya sana ambaye imemwathiri kihisia na anahofu yasije jirudia.

Hivyo anaomba ushauri;

Je amwambie mhusika?

Au asimwambie na aitoe tu kimya kimya kuepuka drama kama za awali na first baby dad plus maumivu ya kipychology alopitia before?

Binafsi nimemshauri atoe mostly kutokana na lugha za kudhalilisha humu jf kwa single parents na jinsi jamii inavyowanyanyapaa single female parents.

NB;anasema alikuwa anatumia p2 kuzuia mimba toka ameanza mahusiano na huyu Mwenye mimba wa pili about a year ago,its just this time around kanasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wametoa mimba wakidhani ni solution ya matatizo yao ilihali wamejikuta wakiugua matatizo ya kisaikolojia na kimwili ukiwemo msongo wa mawazo. Nimeshauri sana wadada wengi wasije kujiingiza katika mchezo huu, wengine walisikia na wanashukuru sasa hivi wakiangalia wanao wanalia kwa nini walitaka kuwaua. Wengine walikaza shingo zao sasa wanajuta.

Kila jambo lina matokeo hasi na chanya. Ukitenda hasi ujiandae kupokea hasi. Dhambi/uovu huwa una tabia ya kujizidisha. Huyo mwanamke akubali kuwa alirudi kwenye uzinifu na hayo ndiyo matokeo. Ajikaze kwani daima kuna nafasi ya kujirekebisha. Mara nyingine tunajifunza kupitia makosa yetu na si aibu, aibu hiyo huja tukishindwa kujirekebisha. Nawe mtoa post usimuharibie mwenzako maisha. Akitoa mimba akafikwa na mauti ama kizazi kikaharibika ama akabakia na maumivu ya kudumu ya tumbo baadae yakazaa cancer utafurahi???? Tujifunze kujenga wenzetu na si kuwabomoa.

Na mwisho niwashauri dada zangu kuwa muache vidonge vya uzazi wa mpanga. Hii ni biashara inayowatajirisha watu wachache na daima hawawaambii ukweli. Laiti mngejua mnavyoangamizwa msingetaka hata kuvisikia. Mwili wa binadamu umeumbwa ukijiregulate wenyewe na si kutumia external force. Tumeshapoteza asili yetu kwa kujifanya wajuaji. Hatujiulizi wanyama wasio na utashi kwanini wanapata mimba katika muda sahihi na wanatunza watoto wao katika namna asilia???

Mie namuharibia maisha ama namsave?
Binafsi siwez kubal kunyanyapaliwa kwa starehe tulioshiriki wawil,halafu mmoja ndio aonekane mkosefu.
Jamii yetu ya kitanzania unaijua kwa kuhukumu na matusi especially toka kwa wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnatumia silimia ngapi katika kufikiri?
Hapo alipo tayari ni singo mother kwa mtoto mkubwa.. Kwahiyo akiitoa hiyo mimba ndo ataepuka matusi ya usingo maza? Wakati tayari ye ni singo mother
Halafu mtu unaua kisa kuogopa matusi hivi mko sawa nyie?
Kama vipi mwambie basi amchinje na huyo mkubwa aepuke matusi
Wapuuzi
Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.

Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.

Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma Sent using Jamii Forums mobile app
akatoe tu
siku hizi kuna wataalam wazuri tu
vijogoo vya siku hizi havilei watoto na tena watamtelekeza haswa
inategemea na umri, uzuri na sura aliyonayo km ni over 35 ndio ujauzito unafikia ukingoni
km yupo 25yrs and above atapata mwenza tu
 
Kama umesha mshauri ivyo sizani Kama sisi tuna cha kusemaa .maana sisi atumjui na sizani Kama atakuja umu kusoma ushauri wakati unae mjua usha mshauri ivyo.. It's like Kama ka nafsi kako kana kusuta adi umeona uje utafute huruma umu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.

Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakua single mother unasema umemshauri kwa sabab ya unyanyapaa does it make any difference akitoa na labelling tayari ishatokea kuwa yeye ni single mother ?? Level of maturity zinatofautiana sana simply ushauri wako ni upuuzi mtupu killing is killing no justification!!!! So kipi bora being a single mother or a killer ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha, mwanaume kumkimbia mtoto wake. Lakini pia inasikitisha sana mwanamke kutokuwa makini na mwili wake, kama abstinence imemshinda kwa nini asitumie kinga ili asipate mimba.

First time tunaweza kusema sio kosa, lakini kuruhusu mimba ya pili kwa mtu asiye mume ni kosa.
 
Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma

Sent using Jamii Forums mobile app

Matusi unalinganisha na uhai mkuu
Something isn’t right with you
 
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.

Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna lugha utakayotumia itakayofanya mtu yeyote akuelewe
Kama aliogopa matusi asingefanya mapenzi basi
Ila kumuua kiumbe asie na hatia eti kisa anaogopa kutukanwa ni sababu ya kipumbavu kuwahi kuisikia toka nizaliwe
Ila lastly sisi tutaongea uamuzi unao mwenyewe just fikiria mara mbili mpaka tatu
 
Kumbe hamsomi content
Nimesema alikuwa anatumia njia ya uzaz wa mpango,sema anashangaa imetokea kapata ujauzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom