Anataka kusomea Ufamasia au Physiotherapy

IPO vizuri na chuo kiruz kwa hiyo kitu ni kcmc sema mmnh kwa hiyo performance kwa ngaz ya degree watakuzengua ila kuna course nyingi tu za afya zinazolipa kama dental therapy na udaktari wenyewe lakini hata kwa dental therapy mkuu sikuhizi vyuo vingi wanachukua wanafunzi maximum 15 then umekaa home sanaaa mkuu ushauri ni kwamba hiyo BBA kama ulisomea degree kachue masters yake tu
Hahahaha akachukue masters tena!!! Daahh aombe diploma kwenye chuo kisicho na compettion lasivyoo private health institute ya ada mill 2 kwa semester moja itamnyemeleaa
 
Hahah sawa mkuu basi awe mpole asubiriwez wa NNE au mwez huu mwishoni form zikitoka afanye application
 
Haswaaaaa enheee hayamamboo bhanaa nakumbuka nilitoswa clinical medicine mbaka nikadataa wakatii vigezo nilitimiza na nikavipita hatahivyoo vigezo serikalinii lakinii nilikomaa vyuo ambavyo watuhawavijuii afuu vya serikalii dental ikopowaa sana mbeya dental therapy ada laki sita kwa mwaka kulahapohapo milomitatuu wanachukua watu 16 tuu karibuniii
 
Hahaha kuna cha huku Tanga watu weng hawajakisoma yam wanachukua 15 tu ada 1.2 kwa mwaka ila mwaka huu tupo 12 tu yani
 
Hahahahahaha dental bhanaa inanifuraisha sana mlikuja rufaa nyinyi mbeya mwaka watatuu sijui walekuja kusapuaa but asubilii nacte wasitaaa mwishonii hilolundola wadauu ataliona mwenyewee
 
Haswaaaaa enheee hayamamboo bhanaa nakumbuka nilitoswa clinical medicine mbaka nikadataa wakatii vigezo nilitimiza na nikavipita hatahivyoo vigezo serikalinii lakinii nilikomaa vyuo ambavyo watuhawavijuii afuu vya serikalii dental ikopowaa sana mbeya dental therapy ada laki sita kwa mwaka kulahapohapo milomitatuu wanachukua watu 16 tuu karibuniii

Kuapply hapo unaanzaje sasa?

Form zinapatikana wapi mkuu?
 
Hahahahahaha dental bhanaa inanifuraisha sana mlikuja rufaa nyinyi mbeya mwaka watatuu sijui walekuja kusapuaa but asubilii nacte wasitaaa mwishonii hilolundola wadauu ataliona mwenyewee

Mmnh cjakuelewa vzuri mkuu
 
Yaaanii inanifuraisha kwa watuu wake wachachee wanawaowachukuaa
Halafuuu kuhusu nyinyi wadau wenu mwaka wa tatuu dental walioshikwa waliletwa hukuu mbeya kuja kusapuaa

Hahahahah haya bwana mkuu
 
Kuapply hapo unaanzaje sasa?

Form zinapatikana wapi mkuu?
Skiziaa nacte kakaa usiogopee wakishatoaa tuu fanya mapema kuapply tafuta dental therapy mbeya kwa udi na uvumba tupiaa palee yaanii watuu wengii wanaulimbukenii wa kibaha mafinga kilosa wakatii kunamikoa mizurii yenye unafuu wa maisha afuu kuna hospitali kubwa ya tatuu kwa urefferal babaa nachokushaurii kuwa mfuatiliajii wa nacte sanaa mtandaonii kakaaa
 
Eeewaaa hongera mkuu kwa kumpa moyo hata mimi namshauri hivyo
 
Back
Top Bottom