medyh99
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 206
- 225
Habari wana jamii.
Nauleta huu uzi kwenu kwa lengo la kupata maarifa zaidi. Ndugu wana jamii nina mdogo wangu anasoma degree ya bachelor of science with education.
Lakini kozi hii hakuridhika nayo na anataka kusoma hadi masters. Hivo kuliko kugharamika na ada nyingi za masters naomba kujua kuwa akimaliza masters anaweza kuwa nani na anapata kazi maeneo yapi.
Anachukua masomo ya physics na chemistry.