πππMrejesho kesho SAA 11 jioni.
kanywe mchuzi wa pweza utupie na vumbi la kongoKuna binti nilimsaidia kupata kazi wiki iliyopita amenipigia simu Leo ameshukuru na ameniambia kesho anataka kunipa zawadi nzuri. Nimekubaliana naye ila changamoto ni mahali pa kupewa hiyo zawadi full hotel yani hotelini. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.
Ungemjibu tu with a simple "Asante Kushukuru", ila sasa kwa maelezo yako naona umeshajiandaa kupokea zawadi. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.