Anataka kukopeshwa Mahari

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
540
Reaction score
461
Habari wanajamvi,

Nna rafiki angu anaboyfrend, siku za karibuni amemkazia boyfrend akamtambulishe japo kwao voz wana miaka 6 ila hawajatambulishana kwao.

Boyfrend akasema hawezi kutambulisha kwasababu hana hela. Kama vipi anaomba mdada amkopeshe japo milioni 3 ili hata wazazi wake wakimuuliza umetutambulisha sasa unamahari?

Aseme anayo iyo m3 ....eti jamani ni haki kumkopesha mwanaume mahari??
 
mkopeshe tu,dhamana ni huyo anayeenda kulipiwa mahari akidifault nyanyua goma kajimilikishe, au mwambie aende benki
 
Kama anaona co haki asiulizie tena maswala ya ndoa coz majibu asha pewa "cna hela "
 
Sioni ajabu hapo. Kuna wanawake wanatoa bure kabisa kuwapa wapenzi wao wakawatolee mahali
 
tatizo umri wa dem unaenda na anampendaga sana
Sasa kama ataki Ku assist analalamika nn coz situation ameiona ilivyo ukizingatia wataenda Mbele huko kupeana company kwenye shida na raha
 
kha! hapa ni kujilipia mahari. kisa ndoa??? hapana kabisa , mwambie huyo Dada hakuna mapenzi.

siku wakigombana atamchamba " kwanza sikukupenda na mahari ulijilipia mwenyewe"
 
Yeye anamuona mwanaume wake hayuko tayari anang'ang'ania kuolewa, basi ndio ajilipie mahari ajioe sijui aolewe!!
 
sasa mnataka akaibe maana kashasema hana!


na hatuna uhakika kama kweli hana au ni kisingizio kwa sababu hana mpango wa kumuoa
Ana mshahara mdogo wa wizarani ila nadhani hana nia tu, kwani wangapi wanafanya kazi kwenye mawizara na wanalea familia zao vizuri
 
kha! hapa ni kujilipia mahari. kisa ndoa??? hapana kabisa , mwambie huyo Dada hakuna mapenzi.

siku wakigombana atamchamba " kwanza sikukupenda na mahari ulijilipia mwenyewe"
kwakweli huo mchambo utauma sana kwakweli...dah
 
6 Years Hutambulik ila nyie Wanawake kuna Muda huruma zenu zinawazid hata Malaika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…