Ingawa nahisi hapa si jukwaa lake lakini msaada hutolewa panapo shida.
Ndugu yetu mbona jawabu za maswali yako yote umeshajijibu1
1. Naam dini ni muhimu na ndio maana nduguyo hayuko tayari kubadili dini na kufikia kutaka kujiuwa
2. Ushauri wa kumpa ni kumwambia achaguwe moja kati ya dini au msichana.
Hivyo kwa dini yako kujiuwa na kuacha dini si dhambi vyote basi mwache achaguwe moja kama hawezi kuamini kuwa duniani wako wasichana wengi wa dini yake na hata hao Waislamu waliokuwa tayari kuolewa na mkiristo bila udhia wowote.
Muache ajiue huko anakoenda atawakuta waislamu na wakristo wengi tu waliotangulia ambao hawakuolewa, dini ndiyo inanunua ugali?? acha hizo, kama ameishakuachia vitu tundika mimba tuone kama itataja jina la dini fulani:car:wacha mm niondoke zangu