I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 #1 Ni toka aliporipoti tarehe 8 kijana amekuwa akilalamika sana kuhusu vyoo anadai atapata maradhi anaomb ushaur afanye nin na hiv kwa kipind hiki hakuna maji kabisa je hvyo vyo vya kukaa walifikilia nin kuweka new hostel"
Ni toka aliporipoti tarehe 8 kijana amekuwa akilalamika sana kuhusu vyoo anadai atapata maradhi anaomb ushaur afanye nin na hiv kwa kipind hiki hakuna maji kabisa je hvyo vyo vya kukaa walifikilia nin kuweka new hostel"
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Oct 16, 2012 #2 si apange vumba huko nje ya hostel
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #3 Luno G said: si apange vumba huko nje ya hostel Click to expand... anahisi hata nje vyaweza kuwa hvyohvyo
Luno G said: si apange vumba huko nje ya hostel Click to expand... anahisi hata nje vyaweza kuwa hvyohvyo
Ndukidi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,499 Reaction score 1,302 Oct 16, 2012 #4 Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali.
Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali.
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #5 Ndukidi said: Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali. Click to expand... nje anaogopa vishawish pia hatoconcetrate kama akiwa na wenzake
Ndukidi said: Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali. Click to expand... nje anaogopa vishawish pia hatoconcetrate kama akiwa na wenzake
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Oct 16, 2012 #6 mwambie arudi kwao akanye kwa raha mstarehe
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #7 Tongs said: mwambie arudi kwao akanye kwa raha mstarehe Click to expand... hahaha jamani elimu na afya vyote vinaenda kwa pamoja
Tongs said: mwambie arudi kwao akanye kwa raha mstarehe Click to expand... hahaha jamani elimu na afya vyote vinaenda kwa pamoja
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,002 Reaction score 102,849 Oct 16, 2012 #8 Anapanda juu yake mbona wengibe twafanya hivyo Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 16, 2012 #9 Achimbe choo chake kama anafikiri alienda kunya chuoni
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #10 andybird314 said: Anapanda juu yake mbona wengibe twafanya hivyo Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... ntajitahdi kumuelekeza afanye hvyo akianguka matibab yataanza tena
andybird314 said: Anapanda juu yake mbona wengibe twafanya hivyo Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... ntajitahdi kumuelekeza afanye hvyo akianguka matibab yataanza tena
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Oct 16, 2012 #11 Mwambie anunue poti!
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #12 ITEGAMATWI said: Mwambie anunue poti! Click to expand... aaaaah! Nimeipenda hyo
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Oct 16, 2012 Thread starter #13 bornagain said: Achimbe choo chake kama anafikiri alienda kunya chuoni Click to expand... mmmmh c anajipa kaz tena!
bornagain said: Achimbe choo chake kama anafikiri alienda kunya chuoni Click to expand... mmmmh c anajipa kaz tena!
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,703 Reaction score 1,408 Oct 16, 2012 #14 adandie juu ya hivyo vyoo.. Pakuwekea kalio/masaburi akanyage kwa miguu,... Ila ikitokea akateleza akachana msamba MIE SIMO!!
adandie juu ya hivyo vyoo.. Pakuwekea kalio/masaburi akanyage kwa miguu,... Ila ikitokea akateleza akachana msamba MIE SIMO!!
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Oct 16, 2012 #15 hivi, ndo kakutuma uje umsemee hapa? Nahisi ni wewe mwenyewe. Aya najua umeambulia kitu kwa majb ulopewa hapa. Masomo mema na kunya salama.
hivi, ndo kakutuma uje umsemee hapa? Nahisi ni wewe mwenyewe. Aya najua umeambulia kitu kwa majb ulopewa hapa. Masomo mema na kunya salama.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,785 Oct 16, 2012 #16 Cha kushauri mwambie apange mtaani kama gharama kubwa changeni hata na mwenzake!! Sio SUA tu vyuo vyote ni balaaa!!
Cha kushauri mwambie apange mtaani kama gharama kubwa changeni hata na mwenzake!! Sio SUA tu vyuo vyote ni balaaa!!
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,312 Oct 16, 2012 #17 Mwambie ahamie kididimo mbona vyumba vingi kule kwa prof. mtakwa.
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 245 Oct 16, 2012 #18 Mwambie anitafute tukae wote kididimo,atakunya hd mwenyewe atafurahi!
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Oct 16, 2012 #19 ili ndio la msingi kupanga ni kuchagua sasa yeye kama anaona hatapata raha ya kunya akiwa chuo basi ni vema akarudi nyumbani
ili ndio la msingi kupanga ni kuchagua sasa yeye kama anaona hatapata raha ya kunya akiwa chuo basi ni vema akarudi nyumbani
M myfun Member Joined Oct 4, 2012 Posts 8 Reaction score 0 Oct 16, 2012 #20 Amekuja kunya au kusoma pumbavuuu