Niliona kama kafanana na chura nikahisi labda kaenda kwenye maji kunesanesa[emoji1] !Jamani mmeambiwa anatafutwa kapotea, sasa habari za chura tena!!....
[emoji3][emoji3]Mtoto ametulia na sijui ametoroka kwa sababu gani, ila kwa huo mzigo, kurudi ni ngumu sana.
Wamuulize sunraChura kapotea?