Anatafutwa msimamizi wa shamba

Anatafutwa msimamizi wa shamba

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
1,887
Reaction score
1,620
Wadau
Anatafutwa misimamizi wa shamba (meneja_),mwenye sifa zifuatazo kwa ufupi;
Ukubwa wa shamba: ekari 10
Miradi: Mashamba kitalu( Greenhouses) na ya kawaida
Umri : 25 - 55
Uzoefu:kufanya kazi shambani ,zaidi ya miaka mitatu
Makazi:Aliye tayari kukaa shambani,vinginevyo linaongeleka
Mahali: Dar es Salaam/ Pwani
Aina ya kilimo: Cha umwagiliaji

Kwa mtu aliye na nia ya kweli naomba tuwasiliane PM haraka iwezekanavyo.
 
mimi nahitaji nipigie kwa simu namba 0759561054
 
Tunaolima kwa what'sapp na simu tukutane hapa
 
Wadau
Anatafutwa misimamizi wa shamba (meneja_),mwenye sifa zifuatazo kwa ufupi;
Ukubwa wa shamba: ekari 10
Miradi: Mashamba kitalu( Greenhouses) na ya kawaida
Umri : 25 - 55
Uzoefu:kufanya kazi shambani ,zaidi ya miaka mitatu
Makazi:Aliye tayari kukaa shambani,vinginevyo linaongeleka
Mahali: Dar es Salaam/ Pwani
Aina ya kilimo: Cha umwagiliaji

Kwa mtu aliye na nia ya kweli naomba tuwasiliane PM haraka iwezekanavyo.
NJOO KWENYE NAMB A HII UWASILIANE NA MANEJA 0713921703 .KARIBU
 
Back
Top Bottom