Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

Mimi pilau natumia viungo

1.kitunguu
2.nyanya
3.hoho
4.carots
5.njegere
6.ginger/thom
7.nyama
8.pilau masala ya kenya/pilau mix (hivi huwa navitumia vyote kwa pamoja inategemea chakula ni cha watu wangapi
9.hela ikiruhusu na tui la nazi huwa linahusika

Mimi kupika siangalii fedha bali nakuza ujuzi wangu kwaajili yakutafuta connection za sherehe mbalimbali..
10..nna ofisi ya mapishi hapo shekilango nyuma ya kituo cha police mkabala na bar ya hanscana
Toa mawasiliano YAKO nataka kuja onja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom