Inavyoonyesha ni kama Mtafuta mchumba anaishi na virusi, au la unisahihishe.
Me naona kama ungeeleza tu kama yeye anaishi na virusi hayo ya upande wa pili uwaachie wananzengo....sio lazima atakayemridhia naye awe anaishi na VVU....tangazo lako linabagua.